Mdau wa Utangazaji,
TCRA inakualika kuhudhuria kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Utangazaji (ABC).
Kikao hiki kitafanyika kama ifuatavyo:
- Tarehe: 10 / 01/ 2025
- Muda: Saa 3:30 Asubuhi
- Mahali: Ukumbi wa Mikutano wa Bodi, Ghorofa ya 8, TCRA Makao Makuu
Tunaamini mchango wako ni muhimu katika kuhakikisha maandalizi bora ya mkutano huu wa mwaka.
Karibuni sana.

Post a Comment